Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

download%20(8).jpg
 
Those criticizing Cristiano Ronaldo seem to have very short memory. It's just three matches... Last season, how many matches did he stay without scoring? At the end of the season, how many goals did he score? And mind you, Juventus can win the league without Ronaldo. They need him for Champions League instead
 
Hahahahaha!
Shkamoo SYB!
Leo nadhani nitakuwa hapa hapa bongo, nchi yenye waalimu wanaojaliwa kwa hali na mali..
Kanisani nimetoka muda si mrefu..Nimekuombea.

Ukumbuke kwenda kanisani...




@Mohabbat par itna yaqeen
Asante Prof [emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545]. Nami nikienda kanisani nitakuombea. Sote tubarikiwe prof !!!
 
PEP Guardiola amwashangaa watu wanaoweka shaka kuhusu kiwango cha kocha wa Manchester United, Jose Mourinho.
Hatima ya Mourinho huko Man United imekuwa kwenye mashaka makubwa baada ya kuanza kwa msimu mpya wa Ligi Kuu England ambapo kikosi hicho cha Old Trafford kimechapwa kwenye mechi mbili kati ya tatu ilizocheza msimu huu, ikiwa ni mwanzo mbaya zaidi wa ligi tangu msimu wa 1992-93.
Katika kujitetea kwake, Mourinho ambaye ni mshindi mara tatu wa taji la Ligi Kuu England amekuwa akipambana na wapinzani wake wanaomkosoa kwamba anafahamu yeye ni kocha bora na itabaki kuwa hivyo, jambo ambalo Guardiola amelisapoti na kuweka upinzani wao kando.
 
JUVENTUS inaamini kwamba Paul Pogba bado hajatulia kwenye kikosi cha Manchester United hivyo watafanya mipango mizuri ya kunasa huduma ya kiungo huyo mwakani.
Taarifa za kutoka Italia zilizoripotiwa na Tuttosport ni kwamba kiungo huyo bado ana mipango ya kuondoka Old Trafford na kwamba kwa sasa atakachokifanya ni kukusanya tu mabegi na kuhama kwenye dirisha la Januari mwakani.
Mabosi wa Barcelona, akiwamo rais Josep Maria Bartomeu, alizungumzia mpango wa kumsajili Pogba ili akakipige kwenye ligi ya Hispania, lakini dirisha la majira haya ya kiangazi limeshafungwa na Mfaransa huyo amebaki Old Trafford.
Baada ya kuona dili hilo limeshindwa kukamilika, Juventus sasa wamepanga kuvamia Old Trafford na kumnasa Pogba wakimrudisha kwenye kikosi chao katika dirisha la Januari. Man United ilimchukua Pogba na kumrudisha kwenye kikosi chao miaka miwili iliyopita kwa ada iliyoweka rekodi ya uhamisho kwa wakati huo, Euro 105 milioni.
 
Back
Top Bottom