Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

download%20(27).jpg
 
Sijaamka ila nina hamu sana na shikamoo yako prof. Wambea walikuwa wanauliza eti na leo utabakia New Delhi na yale makihindi hindi yako? Kaniombee nami leo ukiweza kwenda kanisani [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Hahahahaha!
Shkamoo SYB!
Leo nadhani nitakuwa hapa hapa bongo, nchi yenye waalimu wanaojaliwa kwa hali na mali..
Kanisani nimetoka muda si mrefu..Nimekuombea.

Ukumbuke kwenda kanisani...




@Mohabbat par itna yaqeen
 
MAFINGA, IRINGA:
POLISI WADAIWA KUUA MTU WALIPOKUWA WANAJARIBU KUSIMAMISHA GARI.

Wanadaiwa kumpiga risasi na kumuua mtu aliyekuwa kwenye gari baada ya dereva wa gari hilo kukaidi amri ya kusimama.

Walipiga risasi kwenye kioo cha ubavuni.

@Mohabbat par itna yaqeen
 
Kwa kupitia kijitabu hiki Watanzania wanapatiwa nafasi ya kuyaelewa mambo yanayofanywa nyuma ya pazia jeusi la serikali na Chama tawala. Hivyo, wakati Mwalimu anaandika kijitabu hiki alikuwa na lengo la kutupa mwanga wa kile ambacho kwa namna nyingine yoyote ile tusingeweza kukijua.
Taifa letu linamuwia Mwalimu deni kubwa na la kihistoria. Kueweza kuelewa uzito wa hili ni muhimu kukumbushia jinsi ambavyo taifa la Marekani liliposimamia Muungano wake siyo kwa uzuri wa hoja bali kwa nguvu ya mtutu pale wanasiasa wa majimbo ya Kusini walipotaka kujitenga na ndugu zao wa Kaskazini na kumlazimisha Rais Abraham Lincoln kwenda vitani na ndugu zao.

Kwa Tanzania, Muungano wetu umetetewa kwa nguvu ya hoja na taifa letu bado liko moja. Hatuna budi kujivunia tunu hii, kuilinda na kuendeleza utetezi usio na utata wa taifa letu; hata pale walioko madarakani wanaposhindwa kufanya hivyo.
 
Back
Top Bottom