D A E M U S H I N
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 22,665
- 121,102
nilikuwa nimesahau kama kuna sehemu ya attach.Unaonaje ukiiweka hapa hapa? Ni kakitabu kadogo sana kale naamini hata MB 1 hakazidi. Hebu jaribu mkuu. Ikishindikana nitakutumia email yangu inbox. Nilikuwa na soft copy kompyuta ikafa nayo. Nitashukuru sana kamanda [emoji1545][emoji1545][emoji1545]