The Boldly
JF-Expert Member
- May 21, 2017
- 2,377
- 5,151
Success is a lousy teacher. It seduces smart people into thinking they can’t lose. Bill Gates (Microsoft)
Ahahahdयदि आप यह पढ़ सकते हैं आप समलैंगिक या समलैंगिक हैं
tangu niajiriwe kwa wahindi nasumbua kweli
Kaone. Kananusa nusa huku na huko. Ukikategea ubuyu hata kama ni Argentina katakuja tu. Safari nyingine ili kukanasa nitadanganya kaje Gold Crest kwa sababu nina ubuyu wa kufa mtu [emoji16][emoji16][emoji16][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124]nisje jikwaa bure. Umeona prof kawa muhindi naudeiz
Waone !!!Tangu juzi/jana tuko delhi,prof hataki masikhara kabisa[emoji16][emoji16]
PointNakubaliana na wewe kuhusu uwezo wa Salah kwa mechi hizi nne za mwanzo, kila kitu kina mwanzo. Naamini nguvu unayoanza nayo mapema asubuhi haifanani na uipatayo kila unavyoendelea kufanya kazi. Tusubiri tuone
Mchanganyiko wa Mhindi na mweusi huyo mkuu. Ila tu bahati mbaya sana ameshavuka mstari. She in hard core porn now. Very sad !!!
Liver wako on fire mseme mnavyotaka lakini moto umewakakwa hisani ya muheshimiwa allison becker.
next games tottenham hotspurs, southampton, chelsea.
umeniuliza sababu ipi inayonifanya niamini ya kwamba mechi tatu zijazo liverpool watapoteza points 4.
- ukiachana na mechi ya leo ambayo sijabahatika kuiangalia mechi zilizopita zote nimemuona mohammed salah pumzi yake ikiwa imekatika kwa 50% hivyo basi kwa kiasi kikubwa msimu huu munaishi kwa kutegemea pumzi ya sadio mane na robert firmino, ina maana kwa kipindi hiki utatu mtakatifu umepungua nguvu.
- huku upande wa pili utatu mtakatifu wa chelsea umeongezeka nguvu ukilinganisha na msimu uliopita.
- kwa kuwa michuano ya Asian games imemalizika kuna uwezekano mkubwa wiki mbili zijazo so heung min akarudi uwanjani kuitumikia tottenham.
![]()
Lakini uanzi safari stendi
This is liverSiku ya leo inaisha hiviView attachment 853750View attachment 853751
Hatari sanaWakifanya hivi makaburi ya Kinondoni, kesho yake watalishangaa kaburi lao
Lete soft copy mkuu kama unayo.UONGOZI WETU NA HATIMA YA TAIFA LETU
Kati ya hazina kubwa za fikara ambazo Watanzania wanayo katika ujenzi wa taifa lao ni fikra za Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere ambapo ni pamoja na kuelewa nadharia na falsafa zake
kuhusu maendeleo, uongozi, na suala zima la ujenzi wa taifa jipya. Kwa kiasi fulani (wengine
wanaweza kusema kiasi kikubwa) kipo kizazi cha Watanzania ambacho kinajaribu kufuta, kudharau, na hata kusahau hazina hii ya fikra. Ni lengo langu kutoa changamoto kwa kizazi hicho kwa kuchapisha kijitabu hiki cha Mwalimu kwa mtindo na namna hii na hivyo kuyaleta mawazo ya Mwalimu kwa kizazi kipya.
Wakati Mwalimu anaandika kijitabu hiki kidogo mwaka 1994 taifa letu lilikuwa linakabiliwa na
changamoto kadhaa za kihistoria ambazo ndizo zilimfanya kuingilia kati na kuandika kijitabu hiki
ambacho kilikuwa kama nasaha, onyo, na usia kwa Watanzania.
Kabisa naona alichagua maisha hayoMchanganyiko wa Mhindi na mweusi huyo mkuu. Ila tu bahati mbaya sana ameshavuka mstari. She in hard core porn now. Very sad !!!
Kwema kabisa kamanda. TUMSHUKURU MUNGU [emoji16][emoji16][emoji16]Mkuu kwema
halafu wewe na moudgulf kama munalingana kiuandishi na cha ajabu nyote munashabikia liverpool.Liver wako on fire mseme mnavyotaka lakini moto umewaka
nitakutumiaje sasa?Lete soft copy mkuu kama unayo.
Hakika Mungu ni mwema kila sikuKwema kabisa kamanda. TUMSHUKURU MUNGU [emoji16][emoji16][emoji16]