Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Life is too short to worry about anything. You had better enjoy it because the next day promises nothing.

Happy sunday
[emoji256][emoji256][emoji256][emoji256][emoji256][emoji256][emoji256][emoji256][emoji256][emoji256][emoji256][emoji256][emoji256][emoji256][emoji256][emoji256][emoji256][emoji256][emoji256]
Na kwako pia hujambo my princess
 
Unataka kusema wakati bro anakutafuta pale alikuwa na nguo mpya?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
Hata sijapiga mswaki. Hii siku itaisha salama kweli?

[emoji654]️[emoji654]️[emoji654]️Ila ni kweli. Nilikuwa nimevaa kaptula la jeans jipya na mabuti meusi mapya pamoja na fulana yenye picha ya Malcom X mpya pana pana hivi. Usoni miwani myeusi kidogo hivi, mkononi saa nzuri ya dhahabu (haifanyi kazi), pete mbili kidoleni na cheni ndogo yenye msalaba shingoni.

Nilikuwa nimepanga kukapa sapuraizi ya kufa mtu bahati mbaya/nzuri hakakutokea. Hakafai kabisa [emoji16][emoji16][emoji16]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nimeuliza swali tu mie.sina nia mbaya[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]twende tu kabla hajaja na shuaini zake[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
Shwaiiiniii nyie kabisa. Na fantasy yangu ya kimdabuo bado iko pale pale. Kama niliweza kulivaibretisha lile jimama lililotaka kuniua nyie na ukimbaumbau wenu nitawashindwaje? Maneno meeeeengiii mkiitwa hamji [emoji36][emoji36][emoji36][emoji36]
 
Back
Top Bottom