mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
Sijawahi kukutana naye kwa kwelihalafu wewe na moudgulf kama munalingana kiuandishi na cha ajabu nyote munashabikia liverpool.
hivi mushawahi kuonana?
jurgen klopp mwaka huu anaweza kuwatoa kimaso maso.