Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

HATUPOI
FB_IMG_1535871034469.jpg
 
RIPOTI YA JAJI NYALALI:
Tume ya Jaji Nyalali ilipendekeza mambo mengi, lakini yanayotuhusu hapa ni mawili:
(i) Pendekezo la kugeuza mfumo wa Chama Kimoja cha Siasa, na kuleta mfumo wa vyama vingi;
(ii) Pendekezo la kugeuza mfumo wa Muungano wa Serikali Mbili, na kuleta mfumo wa Shirikisho la Serikali Tatu.
.
La kwanza lilikubaliwa na Chama na Serikali, na la pili likakatiliwa. Linalohitaji maelezo ni hilo la pili
Waingereza wana msemo: 'Ignorance is bliss; ujinga ni baraka.

Wako watu wanaodhani kuwa pendekezo la Tume ya Nyalali la kutaka Shirikisho la Serikali Tatu,
linatokana na maoni au matakwa ya watu. Hiyo si kweli hata kidogo. Lakini watu wanaotaka tuamini kwamba wasemavyo ni kweli si watu waongo, ni wajinga tu, maana nadhani hawajasoma Ripoti yaTume ya Nyalali.
Hotuba ya Waziri Mkuu na Makamu wa Kwanza wa Rais, ya tarehe 30 Aprili, 1992, katika Bunge Ia Muungano inaeleza vizuri sana ukweli ulivyo.
 
Duh!
Askofu aliyeongoza ibada ya mazishi ya Aretha Franklin aomba msamaha kwa kumshika kifua msanii Ariana Grande



Askofu huyo aliyeongoza ibada ya mazishi ya gwiji wa muziki nchini Marekani Aretha Franklin ameomba msamaha baada ya kushutumiwa kwa kumgusa kifua mwanamuziki Ariana Grande mbele ya umati mkubwa uliohudhuria mazishi hayo.

Picha zinamuonyesha Askofu Charles H Ellis wa tatu akimshika Ariana juu ya kiuno chake huku vidole vyake vikiwa vimeshikilia upande mmoja wa kifua chake.

''Sio lengo langu kumshika mwanamke matiti'', aliambia shirika la habari la AP.

''Pengine nilivuka mpaka, pengine nilijihisi kuwa karibu naye sana kama rafiki''.
 
Katika maisha yako, kua mvumilivu kama *FUSO*,

Jipe moyo kama *BAJAJ*,

Usiwe na tamaa kama *DALADALA*,

Uwe jasiri kama *SCANIA*,

Uwe mstaarabu kama *COASTER*,
Na usijikweze Kama *NDEGE* Tena usiwaweke watu Roho juu Kama *MTUMBWI*
Maisha ni taratibu Kama *TREKTA*

hivyo usiwe na haraka kama *BODABODA*,

Waheshimu wenzako kama *BAISKELI*
, kuwa mpole kama mtembea kwa *MIGUU*.

Week.end njema.
 
Katika maisha yako, kua mvumilivu kama *FUSO*,

Jipe moyo kama *BAJAJ*,

Usiwe na tamaa kama *DALADALA*,

Uwe jasiri kama *SCANIA*,

Uwe mstaarabu kama *COASTER*,
Na usijikweze Kama *NDEGE* Tena usiwaweke watu Roho juu Kama *MTUMBWI*
Maisha ni taratibu Kama *TREKTA*

hivyo usiwe na haraka kama *BODABODA*,

Waheshimu wenzako kama *BAISKELI*
, kuwa mpole kama mtembea kwa *MIGUU*.

Week.end njema.
👍👍
 
Back
Top Bottom