moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Furaha huzuia magonjwa na ulemavu
Furaha inatajwa kuhusika katika kuboresha hali ya makali ya homa za muda mrefu na mfupi na maumivu.
Hakika, ni kweli tupu
Furaha huzuia magonjwa na ulemavu
Furaha inatajwa kuhusika katika kuboresha hali ya makali ya homa za muda mrefu na mfupi na maumivu.
Mungu atupe afya na uzima
Mungu atupe siku njema
Usiku mwema kwetu wooote
Nyweshea majani😂😂😂
Mmmhhm umenitishaKuna watu wa hatari sana kwenye uzi huu
Kuna watu wa hatari sana kwenye uzi huu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hatari gani Mkuu? Sie wengine ni ndege waoga humu, kama vipi tukimbize mbawa zetu! [emoji1][emoji1]
Usitishike. Mambo ya kawaida tu. Kuna watu wa usalama humu tunacheka nao.Mmmhhm umenitisha