Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

40586803_2061661963893770_6755334934941925376_n.jpg

lionel messi amenyimwa umahiri wa kutumia kichwa lakini amepewa kipaji cha kutumia miguu yake kwa ufasaha.
lukaku romelu amepewa umahiri wa kutumia kichwa chake kwa ufasaha lakini amenyimwa umakini wa kutumia miguu yake kwa ufasaha.
 
Wanayo fursa ya kufungua akaunti wakawa wanawalipa kupitia huko jambo litakalosaidia kuondoa malalamiko yanayoibuka pindi mktaba unapovunjika na mfanyakazi akalalamika kuwa hajalipwa mshahara wake kwa miezi au miaka kadhaa.

Benki nyingine pamoja na taasisi za fedha zikirahisisha utaratibu wa kungua akaunti bila shaka wananchi wengi zaidi watakuwa nazo. Takwimu zilizopo zinaonyesha ni watu 17 tu katika kila 100 wana akaunti ya benki.
Huduma nyingi zinahamia kwenye simu.

Kuna nchi wanatumia simu zao kama tiketi/kadi ya mwendokasi.
 
Rais John Magufuli ameanza ziara mkoani Mwanza ambapo anatarajiwa kushuhudia utiaji saini mkataba wa ujenzi wa meli mpya itakayokuwa kubwa zaidi kwa nchi za maziwa makuu.

Sambamba na utiaji saini huo pia atashuhudia kusainiwa kwa mkataba wa ukarabati wa chelezo na meli za MV Victoria na MV Butiama.

@Mohabbat par itna yaqeen
 
Mabadiliko Chanya ni Maendeleo

=== Na Leonard

[emoji654]️[emoji654]️[emoji654]️Ukiwa bachelor/spinster ukaamua kuoa au kuolewa usipoona dalili za mabadiliko chanya ,basi utatamani kuwa bachelor

[emoji654]️[emoji654]️[emoji654]️Ukiwa mwajiriwa ,ukaamua kujiajiri ,usipoona mabadiliko chanya utatamani kuajiriwa tena hata Kwa ujira MDOGO

[emoji654]️[emoji654]️[emoji654]️Ukiwa Mganga Wa kienyeji,ukaamua kumfuata yesu, usipoona mabadiliko chanya, utatamani kuwa mchawi

[emoji654]️[emoji654]️[emoji654]️Ukiwa msomi wa ngazi ya juu ,lakini Elimu yako haikusaidii chochote ,basi huwaonea wivu wale ambao hawakusoma

[emoji654]️[emoji654]️[emoji654]️Ukiona maarifa ulionayo hayakusaidii, basi hutamani kujaribu ujinga

[emoji654]️[emoji654]️[emoji654]️Ukiwa mgonjwa ukatumia dawa kwa mda mrefu bila kupata nafuu ,mgonjwa hutamani kufa

[emoji654]️[emoji654]️[emoji654]️Kimsingi mabadiliko yoyote ambayo ni HASI si maendeleo kwani hungeuka kuwa kero Kwa walengwa

[emoji1488][emoji1488][emoji1488][emoji1488][emoji1488]
 
Trafick anaweza kuajiriwa mpaka anastaafu hajaona kitu hii

Sent using Jamii Forums mobile app
Wapo akina mama "wakorofi" aisee. Imagine huyu ni mke wa mtu tena ni mrembo kweli kweli. Anasema hii ndiyo fantasy yake na huwa anapata furaha ya ajabu akifanya mambo kama haya.

Na trafiki akimuona atampiga faini au atamuacha? Hili ni kosa?
 
Back
Top Bottom