Matani mwisho kuanzia sasa
Tunaishi kama manazi. Kila mtu anamchunguza mtu...
Duh mie huwa siangalii hizo notifications kumbe kuna wanaofukua duh
Hakimbii mtu humu. Ni haki yetu kufurahi na kuchangamana na watu ila kuanzia leo ukiniona nataniana na mtu humu ijia dola 1000 nitakupa wallahi !!!
Salama kabisahabari zenu wakuu "..
Hakimbii mtu humu. Ni haki yetu kufurahi na kuchangamana na watu ila kuanzia leo ukiniona nataniana na mtu humu ijia dola 1000 nitakupa wallahi !!!
hahaha asante sana chief " hata hivyo nimeshiba ..nimetoka kula kiporo cha ugali WA JanaSalama kabisa
Karibu ukoko wa ugali...
Ndiyo....Tobolwa??
@Mohabbat par itna yaqeen
He he he he hehahaha asante sana chief " hata hivyo nimeshiba ..nimetoka kula kiporo cha ugali WA Jana
Mapalaghe unayajua???Ndiyo....
Na michembe....
Na maziwa ya mgando....
Nakupa miezi mitatu halafu kapime uzito. Utashangaa.
NdiyoMapalaghe unayajua???
Huyu maalim vipi tena?
Hii miti imenikumbusha kwetu kolandoto...
Huyu maalim vipi tena?