Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

852903687_215990~2.jpg
 
Mabadiliko Chanya ni Maendeleo

=== Na Leonard

[emoji654]️[emoji654]️[emoji654]️Ukiwa bachelor/spinster ukaamua kuoa au kuolewa usipoona dalili za mabadiliko chanya ,basi utatamani kuwa bachelor

[emoji654]️[emoji654]️[emoji654]️Ukiwa mwajiriwa ,ukaamua kujiajiri ,usipoona mabadiliko chanya utatamani kuajiriwa tena hata Kwa ujira MDOGO

[emoji654]️[emoji654]️[emoji654]️Ukiwa Mganga Wa kienyeji,ukaamua kumfuata yesu, usipoona mabadiliko chanya, utatamani kuwa mchawi

[emoji654]️[emoji654]️[emoji654]️Ukiwa msomi wa ngazi ya juu ,lakini Elimu yako haikusaidii chochote ,basi huwaonea wivu wale ambao hawakusoma

[emoji654]️[emoji654]️[emoji654]️Ukiona maarifa ulionayo hayakusaidii, basi hutamani kujaribu ujinga

[emoji654]️[emoji654]️[emoji654]️Ukiwa mgonjwa ukatumia dawa kwa mda mrefu bila kupata nafuu ,mgonjwa hutamani kufa

[emoji654]️[emoji654]️[emoji654]️Kimsingi mabadiliko yoyote ambayo ni HASI si maendeleo kwani hungeuka kuwa kero Kwa walengwa

[emoji1488][emoji1488][emoji1488][emoji1488][emoji1488]

Amin
 
Back
Top Bottom