Huku kweli kuna like au ni Neno like tu
E&K
[emoji23][emoji23][emoji23]
Sijambo mie sijui weye uliyekona ya mbali na macho yangu[emoji1]
Fimbo mwendo mdundo..Hahahahah!Kwani ptofesa unaamini kweli fimbo hazitakuwepo shuleni?
Mi bukheri wa afya! Karibu BBQ hapa, kuna ka holiday flani hivi leo hapa Nansio! [emoji1]
Naona unania ya kunisababishia njaa wewe si bure,ngoja nikapambane na bamia zangu kwanza[emoji23][emoji23][emoji23].
Hizo holiday za jumatatu ni nzuri sana,sijui kwanini huku manzese leo tulienda kazini mweeeh!![emoji124][emoji124][emoji124]
Kile kitabu chekundu "Wisdom for men ..." kingemsaidia.Huyu jamaa kasababisha maafa huko UK [emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 855688
Huyu jamaa kasababisha maafa huko UK [emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 855688
Hahaaa, pole! Holiday za Jumatatu ka Weekend kanakuwa karefu aisee, raha tupu! We pambana na bamia zako bana, yote maisha! [emoji1][emoji1]
[emoji23][emoji23][emoji23]yaani umenitamanisha na unanambia nikapambane na bamia?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]... Wakati unazitafuna bamia unakuwa na ka picha ka ribs kwa pembeni! Yaani zinatelemka kama unavyokula ribs/steak ya ng’ombe! [emoji1]