Habar ya leo profesaFimbo mwendo mdundo..Hahahahah!
@Mohabbat par itna yaqeen
[emoji23][emoji23][emoji23]tabia za kipare umeanza lini?
Yaani wewe waweza mlisha mtu ughali kwa picha ya samaki[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]... Wewe chautundu, taratibu basi! [emoji1][emoji1]
Teh!
Haya basi mzee wa ughali.[emoji23][emoji23]
Ukawe na jumatatu njema ya mapumziko
Usiku mwema bhana,sungusungu nimepumzika kidogo[emoji1]Hahaa, asante! Jioni/usiku mwema! Au ndio habari ya sungusungu tena? [emoji1]
Usiku mwema bhana,sungusungu nimepumzika kidogo[emoji1]
JILIWAZE KIDOGO
Ninaposema kuwa na nidhamu ya matumizi ya pesa simaanishi ndiyo ujinyime kiasi cha kushindwa kujipongeza walau kiduchu. Naamini lazima ujiliwaze kidogo unapokuwa njiani kufikia lengo fulani. Jipe liwazo hata kidogo. Inasaidia kuufanya ubongo wako uelewe kuwa kuna mambo mengi mema yanakuja hivyo utaufanya ufanye kazi kwa bidii zaidi.
WEKA MIPANGO
Weka mipango ya namna ya kutumia fedha zako kwa maandishi kabla ya kuziingiza kwenye matumizi. Jambo hili ni muhimu mno katika kujenga nidhamu ya matumizi ya pesa.
Kuweka mipango ni pamoja na kutengeneza bajeti ya mwezi mzima kwa maandishi. Utaratibu wa kuwa na bajeti haina maana ndiyo ujinyime kama wafanyavyo wengi wakidhani ndiyo bajeti. Bajeti ni namna sahihi ya matumizi ya pesa zako ili upate na akiba kwa ajili ya kutoka hapo ulipo kwenda mbele.