D A E M U S H I N
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 22,665
- 121,102
Hahahaha!!!Uko nae sehemu mmejifungia chumbani Mara pwaaa mafuta na nyama zimesambaa kitandani.
Kwa tukio kama hilo Hautokula nyama aina yoyote kwa kipindi kirefu mnoHahahaha!!!
Si nyama tu, unaweza ukaogopa kugusa misambwa* yote duniani.Kwa tukio kama hilo Hautokula nyama aina yoyote kwa kipindi kirefu mno
Inaweza kua ndo chanzo cha kusimama kiimani ktk dini yoyote unayoaminiSi nyama tu, unaweza ukaogopa kugusa misambwa* yote duniani.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]..Inaweza kua ndo chanzo cha kusimama kiimani ktk dini yoyote unayoamini