Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Asee, nyie wapenda misambwanda ndiyo mnaowatesa vimbaumbau[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] kuna visa vya wanaume kutelekeza familia zao baada kupata mijimama iloyojazia. So, baadhi ya wanawake wanaona suluhisho ni kujibandika msambwanda feki ili kujenga heshima mtaani[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Uko nae sehemu mmejifungia chumbani Mara pwaaa mafuta na nyama zimesambaa kitandani.
 
Sijawahi kutamka katiba kwenye kampeni zangu za kuomba urais.
Katiba sio kipaumbele changu. Kwa sasa nainyoosha nchi kwanza''.


''Police mkukita mtu anaendesha gari kwenye njia ya mwendo kasi,
ng'oa tairi uzeni''.

pombe+pic%255C.jpg
 
Wanaume duniani hawaeleki katika swala la ukatili na huruma
Yasemekana kiasi cha huruma na ukatili kwa mwanaume ni nusu kwa nusu yaani asilimia 50 kwa 50
Kwa lugha rahisi ukimkuta mwanaume amedhamiria kuua na ukafanikiwa kumweka sawa kabla hajamfikia muhusika anarudisha moyo nyuma
Hii ni tofauti na jinsi wanawake walivyo
 
Back
Top Bottom