Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
[emoji3] [emoji3] [emoji3]Wakora bojo [emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 858062
KapendezaAkitafakari jambo pembeni akiwa na zana zake za uwindaji View attachment 858057
Asee, nyie wapenda misambwanda ndiyo mnaowatesa vimbaumbau[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] kuna visa vya wanaume kutelekeza familia zao baada kupata mijimama iloyojazia. So, baadhi ya wanawake wanaona suluhisho ni kujibandika msambwanda feki ili kujenga heshima mtaani[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Siyo hivyo tu mkuu. Hakuna anayejua huko mbele ya safari itakuwaje. Wengine inawatokea mtako unapasuka tu pwaaa hasa hawa waliofanyiwa operesheni na kushindiliwa mafuta huko. Juzi juzi hapa slei kwini kaenda gym ile kuchuchumaa tu msambwanda ukachanika minyama na mafuta yote chini inabidi kuita ambyulensi...
Duh! Ya ukweli hiyo?Siyo hivyo tu mkuu. Hakuna anayejua huko mbele ya safari itakuwaje. Wengine inawatokea mtako unapasuka tu pwaaa hasa hawa waliofanyiwa operesheni na kushindiliwa mafuta huko. Juzi juzi hapa slei kwini kaenda gym ile kuchuchumaa tu msambwanda ukachanika minyama na mafuta yote chini inabidi kuita ambyulensi...
Mtoto mtukutu yamemkuta[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Wakora bojo [emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 858062
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Kapendeza
Upo mkwe wa mama Nenze?Nipo mkuu
Shemeji yako mkorofi sana, ananibana mno.
Nipo aseeeUpo mkwe wa mama Nenze?
Hahahahaha! Sina undugu nae mkuu
Kale kademu kamechoka kuchuchumaa.Nipo aseee
Sasa mbona umekatoa kale ka avatar ketu ka kidemu kimechuchumaa fulani hivi??
He he he heHahahahaha! Sina undugu nae mkuu
Ungekageuza kinyume nyume tuone kama kana trakoooooooKale kademu kamechoka kuchuchumaa.