Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Asee, nyie wapenda misambwanda ndiyo mnaowatesa vimbaumbau[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] kuna visa vya wanaume kutelekeza familia zao baada kupata mijimama iloyojazia. So, baadhi ya wanawake wanaona suluhisho ni kujibandika msambwanda feki ili kujenga heshima mtaani[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Usitulaumu sisi. Wanawake wenyewe ndo hawaeleweki bana. Kuvaa mawigi napo utamlaumu nani? Kujichubua je? Kujisiliba mekapu? Nyusi za bandia?
 

Attachments

  • Screenshot_20180905-120651~2.jpg
    Screenshot_20180905-120651~2.jpg
    67.8 KB · Views: 23
Back
Top Bottom