Safi mambo vipHabari ya asubuhi wana likes
Daah! Mzee baba mbona umeongea kwa hisia sanadah unakuwa mbishi kwenye kutoa likes lakini unakuwa na furaha kwenye kungoa jino.
- hii dunia ni ya ajabu sana unakuta mtu anamchukia mwenzake kisa anatembelea thread hii.
- inaonekana kuna watu hawafahumu dhamira kuu ya kuanzishwa jukwaa la chitchat
- kuna watu ni wagumu mpaka kutoa likes ambazo hazitupi utajiri wowote kwenye maisha yetu.
- hivi kwani hii thread imeanzishwa jukwaa la great thinker?
Safi kakaZa mchana wadogo zangu????
Niko poa mkuu za siku mingiSafi mambo vip
HahahahaISIS hata bila kuangalia avatar