*BREAKING NEWS*
-Hatimaye Makonda kujiuzuru. Muda mfupi uliopita jiji la Dar es salam limetikisika baada ya Makonda watatu wa kampuni ya mabasi ya LETE RAHA kujiuzuru na kusababisha usumbufu kwa abiria.
-Hata hivyo abiria wamemuamuru dereva kupeleka basi hizo ktk kituo cha polisi cha central kwani wanadai chenchi kwa Makonda hao