Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Naamini mambo yatabadilika. Watu wasione nimeona hakuna viwango vya kutosha huko Chelsea, sikuwa na maana hiyo. Sisemi Chelsea haina kiwango, ule uhamisho ulikuwa muhimu kwangu,” alisema.
“Nafahamu kuna mashabiki wengine wa Chelsea watanielewa kwenye uamuzi huu niliochukua. Nawatakia kila la heri na nimefurahi kwa ushindi wao wa mechi nne za mwanzo kwenye Ligi Kuu England na waendelee hivyo hadi wabebe ubingwa.”