Milima ya Uluguru Morogoro mkuu[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]wapi hiyo
Duuuu, ale bench tena!!![emoji3] [emoji3] [emoji3]Nitafurahi mno courtois akiendelea kula bench pale madrid
The BluesAvatari inasema kila kitu mkuu
Za alasiri?[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] habari yako numbisa
Mimi nipo kamanda. Tupo pamoja [emoji1545][emoji1545][emoji1545]SHIMBA YA BUYENZE, tumekumiss sana mkuu