Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Hata mimi ankoo, nimesha rudi nikiwa nimengaraaa... Mnyaki mimi nisiye na chuu... [emoji23] [emoji23] [emoji23] View attachment 862223

Kwakweli umeng'ara mnyaki wetu[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] mwendo silver tu hahahahahaaaa
 
Sanane na jiwe lake maarufu
FB_IMG_1536579594765.jpg
 
Mara nyingi kwenye kuspray perfumes /scents zetu sehemu common tunazojua ni SHINGONI,KWENYE WRIST,NA KWENYE NGUO this is all wrong kama ulikuwa wafanya hivi ,time to change up.

Unakuta perfume ni nzuri tu but wajiuliza kila siku mbona haidumu siku nzima????well makosa ndo hayo na mengine nakujuza kaa nami.
 
1.CHANGUA THE RIGHT PERFUME

Hiki ndo cha kwanza na ndo the most important part

Kuna perfumes za aina nyingi hizi za Eau de colognes msome kwanza zimeandikwaje ,hizi ndo zile zapotea harufu ndani ya saa moja na za are eau de toilette hizi kuanzia masaa mawili na kuendelea.can last for 2 hours or more. Sasa kama unataka perfume inayokaa zaidi ya masaa manne jaribu L’eau de parfume , hizi zina higher oil concentrations na hazitapoteza harufu mpaka masaa manne na zaidi kupita ,sasa Illee the classic one ndo zile zinakaa zaidi ya masaa hata 6 huko na kuendelea hii ndo ina last long bila hata kutumia nguvu .
 
2.TESTING THE PERFUME KABLA YA KUNUNUA

Ukienda kwenye stores mbalimbali watakwambia nusa au wewe mwenyewe utanusa the DONT usinuse perfume hapo hapo uki ispray subiri kwanza dakika kadhaa maana ikikauka kidogo ndo utapata harufu halisi ya perfume kama una invest in a good one take your time coz ukinusa ile umespray tu kwenye mfuniko au mkono harufu itakuwa sio ile hailisi am sure hii isha watokea sana unanunua perfume you think you like it but ukaenda paka sasa unawaza mbona harufu haikuwa ile ulodhani .
 
BEFORE APPLYING THE PERFUME /KABLA YA KU SPRAY PERFUME YAKO

So ushanunua perfume yako ,na uko tayari kupitumia WAIT

Kwanza :::Am sure ukioga ndo wapaka perfume yenyewe so kausha mwili na MOISTURIZE YOUR SKIN .

Paka mafuta/lotion yako mwilini na isiwe nayo na harufu sana itaingiliana na perfume .
 
Back
Top Bottom