Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Tatu:: Do not rub your wrist /usisugue mwanzo wa viganja vya mikono.
Yes kuna ile unapaka hapa mwanzo wa viganja vya mikono then ndo unapaka shingoni au unaishia hapo hapo kufanya hivyo sio sahihi,
Perfume inakuwa distorted na itapoteza harufu yake haraka