Duh!!Mzee baba(sijamtaja jina tafadhali msinigombanishe na shemeji yangu) [emoji120] [emoji120] [emoji120] kwema huko?View attachment 862239
SafiiMandhari ya jiji la Mwanza huonekana hivi ukiwa SananeView attachment 862338
Miaka ya nyuma ya 1,800, watu wengi walikuwa wanapenda kuvaa saa zao katika cheni na kuzifungia katika viuno vyao. Ili kuweza kuweka salama saa zao zisivunjike na kuharibika, Levi, watengenezaji wa kwanza kutengeneza suruali za Jeans wakaamua kuweka mfuko huo mdogo mahali ambapo watu hao wangeweza kuhifadhi saa zao salama na kwa wepesi zaidi.
Tangu hapo suruali za Jeans za aina zote zimekuwa zikitengezwa na mfuko huo mdogo bila kujali fasheni iliyopo kwa wakati huo.