myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Mungu ni mwema, bado nipo,tena nikiwa na afya njema kabisa. Vijana wetu wanaendeleaje huko?myoyambendi
carbamazepine
andjul
kisu cha ngariba
mzee wa liver
Kichwa Kichafu ( ninja wangu)
ISIS
Numbisa
NAOMBA KUJUA KAMA HAWA WAPENDWA NI WAZIMA NA KAMA BADO WAPO KATIKA CHIMBO HILI mimi kama muhenga mwenzenu ninawasalimia sana.
kacnia (mzee wa guinea).
HatujamboMajirani amujambo????
basi mungu ashukuliweMungu ni mwema, bado nipo,tena nikiwa na afya njema kabisa. Vijana wetu wanaendeleaje huko?
Tuendelee kumtumainia Mungu kwa kila jambo[emoji120] [emoji120]
Uwe na siku njema
salama mkuu za kwakoHabari za jumanne ndugu zangu