Salama kabisaHabari za jumanne ndugu zangu
kweli...Uzima ndio kila kitu, vingine hutafutwa, ashukuriwe Mungu atujaliaye kukaa salama.
Nashukuru mi mzimasalama mkuu za kwako
Iwe siku njema kwetu wooote
Hatujambo!!! 😆Majirani amujambo????
Ndiyo, jiji linaonekana hivyo kilometa mbili ukiwa ndani ya hifadhi ya taifa ya kisiwa cha SananeTo
hapa ni
Rock city mo!!
Jiji tamu sana hili.Ndiyo, jiji linaonekana hivyo kilometa mbili ukiwa ndani ya hifadhi ya taifa ya kisiwa cha SananeView attachment 862804View attachment 862805
kula like😮😃Abee
Sawa12:32
Sawa12:32
mchana wa kula huu..