Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Zilizojadiliwa hapa ni njia zitakazokuwezesha kupata usingizi mzuri. Ni dhahiri kuwa kukosa usingizi mzuri hutokana na utaratibu mbaya wa maisha ambao mtu amejiwekea. Hivyo basi, badilika, kabla ya mambo yote jali kwanza afya yako ili uweze kuwa na tija zaidi.
 
Sulemani.....Mpaka Yesu mwenyewe anatokana na uzao huo huo [emoji16][emoji16][emoji16]

Lile lilikuwa jaribu kali sana hasa kwa mtu mwenye mamlaka na pesa kama yeye. Kumwona mwanamke mrembo uchi anakoga na una uwezo wa kumpata inabidi ugangamare hasa [emoji16][emoji16][emoji16]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kweli kibaya zaidi alishampa mimba mtoto alizaliwa akafa hila Daudi alijishusha alivaa magunia mpka mtoto alipozaliwa na kufa ndio akarudi ikulu hayo mambo ya misambwanda hatari sana
 
andjul
40194117_266588310652744_7946474486198432950_n.jpg
 
Kwa hiyo hakuna jinsi lazima amalize miaka minne kwa ofisi
Ndiyo maana wanaendelea kumchimba. Pengine watamnasa kwenye haya mambo ya Russia. Au ikithibitika ana matatizo ya akili na hayuko stable kama wanavyodhani. Tatizo hata hivyo Republican ndiyo wengi kwenye Congress na Senate na hawa ndiyo wapiga kura wa kumwondoa. Kwa sasa amewakamata sawasawa na hakuna anayefurukuta. Waliojitolea kumpinga waziwazi hawajagombea safari hii. Yaani ana cult personality na nguvu hatari sana kiasi kwamba ukijitokeza kumpinga tu basi hicho ni kifo chako kisiasa. Uchaguzi wa Novemba Democrats wakiwa majority pengine wataweza vinginevyo itabidi wasubiri mpaka uchaguzi ujao
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kweli kibaya zaidi alishampa mimba mtoto alizaliwa akafa hila Daudi alijishusha alivaa magunia mpka mtoto alipozaliwa na kufa ndio akarudi ikulu hayo mambo ya misambwanda hatari sana
Hiyo ilikuwa ishara kwamba mshahara wa dhambi ni mauti na mtoto huyo wa dhambini ilibidi afe.....

Mungu ni mwema sana na Anasamehe kila dhambi tukirudi kwake na kutubu kama alivyofanya mfalme Daudi...
 
10. Oga jioni au kabla ya kulala

Utafiti uliofanyika umebaini kuwa, kuoga jioni au usiku kabla ya kulala, kutauweka mwili wako katika hali nzuri kiafya na kukufanya kulala vyema. Hivyo unaweza kuoga kabla ya kulala ua hata kusafisha miguu yako kwa maji kabla ya kulala ili kukuwezesha kupata usingizi mzuri.
sawa sawa..
 
Back
Top Bottom