mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
Cc kwa wadada wote humu
Cc kwa wadada wote humu
Maisha ni suala la uamuzi tu mkuu - kila mtu na lwake !!!Daah watu wana turn on post notifications wapate umbea wakat wenzao wanaingiza hela..acha nijiongeezee maarifa jf.
Kweli kabisaYote maisha tu [emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 863340
Siku hazigandiKaribia anakuwa mhenga sasa [emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 863341
Baada ya kukupa hiyo hint. Ulikuwepo wakati wa ile skendo au ulikuwa bado kwenye daipazi [emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️Hahaa, now I know; Monica Lewinsky! [emoji1][emoji1]
Urembo [emoji16][emoji16][emoji16]Nini hii
Ndio rais hivyoYaani huyu akili yake ndio haina akili kabisaaa! [emoji1][emoji1]
Eee ni yeye kabisaaa[emoji125][emoji125]Huyu ndio yuko kwenye ile series ya This Is Us, Mandy Moore?
[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Eee ni yeye kabisaaa[emoji125][emoji125]
Kwa nini wasimfanyie impeachmentHiyo picha imepigwa leo akiwa Pennsylvania kwenye kumbukumbu ya ile ndege inayoaminika kuwa iliangushwa na abiria kwa makusudi Septemba 11, 2001. Imezusha mzozo mkubwa Twitter kuwa pengine ni kweli jamaa ana matatizo ya akili kama ambavyo Bob Woodward amedadavua kwenye kitabu chake kipya cha Fear...
Cc NumbisaMaandaeitini mnamjua huyu ni nani? [emoji1549]♂️[emoji1549]♂️[emoji1549]♂️
[emoji125][emoji125]kama mie[emoji23][emoji23]Niko busy nasikiza voice notes za petit wakuache[emoji23][emoji23][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
Nimeingia insta leo aisee ubuyu kweli upo@
carbamazepine njoo ujibu mie nashangaaa ubuyu na ngumi za insta [emoji125][emoji125]
ledada jakitoo Pyaar
[emoji125][emoji125]Cc Numbisa
Wa moto kabisaNimeingia insta leo aisee ubuyu kweli upo
ShikamoooooHujambo weye
Safi sanaVITU SITA (6) USIVYOTAKIWA KUFANYA KABLA YA
KULALA.
1 - USILALE UKIWA UMEVAA SAA. Saa ya mkononi ina
madhara iwapo utaivaa kwa muda mrefu, wanasayansi
wanashauri sio sahihi kulala ukiwa umevaa Saa(ya
mkononi)
Safi sana2 - USILALE UMEVAA SIDILIA(wanawake wanayovaa
kwenye matiti ). Wanasayansi wa America wamegundua
kuwa wanaovaa sidilia zaidi ya masaa 12 Wako kwenye
hatari zaidi ya kupata Kansa ya matiti.
Maisha magumu wabongo hatupendi kusumbua ubongo kufanya kazi yake bali twapenda mseleleko na dezo dezo sanaAisee...Hata harakati zake za kupinga serikali huwa zinakwamishwa na lugha na matusi ya nguoni anayotumia. Angekuwa anaendesha uanaharakati uliokomaa angeweza hata kutunukiwa nishani za ujasiri na hata digrii za heshima kutoka vyuo vikuu mbalimbali. Lakini sasa ni matusi makali mpaka mtu unasoma tu unaishia kutikisa kichwa...
Halafu hapa dunuani sidhani kama kuna watu wanaopenda umbea kuliko Wabongo aisee....
HahahahahaHayuko sawa huyu Bwana. Halafu huwa hanaga time kabisa na Melania, yeye huku mkewe huko! Si ajabu hata hakumbuki kama anae hapo! [emoji23][emoji23][emoji23]