Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Yaani huyu akili yake ndio haina akili kabisaaa! [emoji1][emoji1]
Hiyo picha imepigwa leo akiwa Pennsylvania kwenye kumbukumbu ya ile ndege inayoaminika kuwa iliangushwa na abiria kwa makusudi Septemba 11, 2001. Imezusha mzozo mkubwa Twitter kuwa pengine ni kweli jamaa ana matatizo ya akili kama ambavyo Bob Woodward amedadavua kwenye kitabu chake kipya cha Fear...
 
2 - USILALE UMEVAA SIDILIA(wanawake wanayovaa
kwenye matiti ). Wanasayansi wa America wamegundua
kuwa wanaovaa sidilia zaidi ya masaa 12 Wako kwenye
hatari zaidi ya kupata Kansa ya matiti.
 
3 - USILALE NA SIMU IKIWA KARIBU. wanasayansi
wanashauri usiweke simu pembeni kwasababu ya mionzi ya
simu sio salama hasa ukiwa umelala, ni vizuri ukaizima
kama ni lazima ukae nayo karibu.
 
Hiyo picha imepigwa leo akiwa Pennsylvania kwenye kumbukumbu ya ile ndege inayoaminika kuwa iliangushwa na abiria kwa makusudi Septemba 11, 2001. Imezusha mzozo mkubwa Twitter kuwa pengine ni kweli jamaa ana matatizo ya akili kama ambavyo Bob Woodward amedadavua kwenye kitabu chake kipya cha Fear...

Hayuko sawa huyu Bwana. Halafu huwa hanaga time kabisa na Melania, yeye huku mkewe huko! Si ajabu hata hakumbuki kama anae hapo! [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ngumi kati ya nani na nani zinarindima huko Insta? Ubuyu wewe kuna siku utakuua wallahi [emoji16][emoji16][emoji16]
[emoji23][emoji23]ubuyu ni afya

Saiv kuna vita mange vs esma(dada ake diamond)

Pending vita ni mange vs wastara
40497381_1606841632764391_7665202882116879690_n.jpg
 
KITU CHA MWISHO NA CHA MUHIMU KULIKO VYOTE NI ....

6 - USILALE NA MKE/MUME WA MTU. wanasayansi
wanasema jambo kama hili linapotokea na ukabainika
linaweza chukua uhai wa mtu, ni vizuri ukawa makini sana
hapa!...
 
Hayuko sawa huyu Bwana. Halafu huwa hanaga time kabisa na Melania, yeye huku mkewe huko! Si ajabu hata hakumbuki kama anae hapo! [emoji23][emoji23][emoji23]
Melania amehit the jackpot naona ameshajizoelea tu. Kasheshe za kulala na wacheza porn na wanawake wengine kibao kisha kuwapa pesa ili wanyamaze zimekuja na kupita Melania yeye yuko kimyaaa. Si ajabu hata makofi anachezea kwa sababu jamaa inaonekana ana hasira sana na hataki kupingwa hata kidogo.
 
Back
Top Bottom