Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]eeee[emoji23][emoji23]Wote hawa uliowataja ni maandaeitini?
[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]eeee[emoji23][emoji23]Wote hawa uliowataja ni maandaeitini?
Na huo pending naona umeutegeshea tu unasubiria [emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23]ubuyu ni afya
Saiv kuna vita mange vs esma(dada ake diamond)
Pending vita ni mange vs wastaraView attachment 863368
Karibia anakuwa mhenga sasa [emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 863341
Hatari sana tena mno ila wakati injini zimewaka kuna kujisahau sana. Cha muhimu ni kutojenga mazoea ya kuvuka mpaka na married people na kujiepusha kuwa katika mazingira hatarishi faraghani. Vinginevyo mtu yanaweza kukukumba yaliyomkumba Mfalme Daudi na bibie mrembo sana sana Bethsheba [emoji16][emoji16][emoji16][emoji1549]♂️[emoji1549]♂️[emoji1549]♂️KITU CHA MWISHO NA CHA MUHIMU KULIKO VYOTE NI ....
6 - USILALE NA MKE/MUME WA MTU. wanasayansi
wanasema jambo kama hili linapotokea na ukabainika
linaweza chukua uhai wa mtu, ni vizuri ukawa makini sana
hapa!...
Miss u sanaSijambo
Hamna anayemchokoza kiherehere chake tu hebu fikiria mtu kama jokate alitukanwa weeee na kudhalilishwa wakati hakumchokoza kosa la jokate ni lipi sasa?kumuabudu binadamu ni upuuzi sana ipo siku yake atadondoka vizuri tu na tunaisubiria kwa hamu sana kazidi kudhalilosha wenzie kwa kigezo eti anaogopwa khaaa atukane tuuu watu na aachwe shuainiiii zakeNa huo pending naona umeutegeshea tu unasubiria [emoji16][emoji16][emoji16]
Na huyo Mange wanamchokozaga wa nini wakati wanajua kabisa kuwa hawamuwezi na hana mpaka. Yaani ukimkoroga analikoroga kweli na data zote anakupa...
HahahahaWamarekani nao wanahangaika na "kichaa" wao [emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 863314
Andaeitini huyu huwezi kumjua. She almost brought down a very successful presidency [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Huyu ndio yuko kwenye ile series ya This Is Us, Mandy Moore?
22.07Usiku unakua mkubwa
Niko busy nasikiza voice notes za petit wakuache[emoji23][emoji23][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]@
carbamazepine njoo ujibu mie nashangaaa ubuyu na ngumi za insta [emoji125][emoji125]
ledada jakitoo Pyaar
22.0821:12
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hujambo weyeWakati tayari fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya 2019 zikiwa zimepangwa kupigwa katika mji wa Madrid nchini Hispania, hizo zinaweza kuwa fainali za mwisho katika miaka ya hivi karibuni, kuchezwa ndani ya Ulaya.
Imefichuliwa kuwa upo mpango na mazungumzo yamefikia hatua ya juu, kuhakikisha mchezo wa fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya unachezwa Marekani kama ilivyokuwa kwa baadhi ya michezo wa Ligi Kuu Hispania ‘La Liga’.
Lengo la kuhamisha mechi hizo za fainli ni kuwahamisha wamarekani kupenda soka kwa upande mmoja na upande wa pili Shirikisho la Soka Ulaya (Uefa) likihitaji kujinufaisha kiuchumi kutokana na mapato ya viingilio na matangazo ya kibiashara.
Aisee...Hata harakati zake za kupinga serikali huwa zinakwamishwa na lugha na matusi ya nguoni anayotumia. Angekuwa anaendesha uanaharakati uliokomaa angeweza hata kutunukiwa nishani za ujasiri na hata digrii za heshima kutoka vyuo vikuu mbalimbali. Lakini sasa ni matusi makali mpaka mtu unasoma tu unaishia kutikisa kichwa...Hamna anayemchokoza kiherehere chake tu hebu fikiria mtu kama jokate alitukanwa weeee na kudhalilishwa wakati hakumchokoza kosa la jokate ni lipi sasa?kumuabudu binadamu ni upuuzi sana ipo siku yake atadondoka vizuri tu na tunaisubiria kwa hamu sana kazidi kudhalilosha wenzie kwa kigezo eti anaogopwa khaaa atukane tuuu watu na aachwe shuainiiii zake
Kama unavyojipendaTuwapende majirani woote...
Andaeitini huyu huwezi kumjua. She almost brought down a very successful presidency [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]