mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
Hatari sanaUrembo [emoji16][emoji16][emoji16]
Impeachment ni process ndefu sana na inahitaji makosa fulani na yaweze kuthibitikaKwa nini wasimfanyie impeachment
MarhahabaShikamooooo
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Marhabaa! [emoji23][emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Me too[emoji23][emoji23][emoji23]
Nimeshangaa[emoji23][emoji23][emoji23]ulivyoidaka sasa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kweli kibaya zaidi alishampa mimba mtoto alizaliwa akafa hila Daudi alijishusha alivaa magunia mpka mtoto alipozaliwa na kufa ndio akarudi ikulu hayo mambo ya misambwanda hatari sanaSulemani.....Mpaka Yesu mwenyewe anatokana na uzao huo huo [emoji16][emoji16][emoji16]
Lile lilikuwa jaribu kali sana hasa kwa mtu mwenye mamlaka na pesa kama yeye. Kumwona mwanamke mrembo uchi anakoga na una uwezo wa kumpata inabidi ugangamare hasa [emoji16][emoji16][emoji16]
Kwa hiyo hakuna jinsi lazima amalize miaka minne kwa ofisiImpeachment ni process ndefu sana na inahitaji makosa fulani na yaweze kuthibitika
Ndiyo maana wanaendelea kumchimba. Pengine watamnasa kwenye haya mambo ya Russia. Au ikithibitika ana matatizo ya akili na hayuko stable kama wanavyodhani. Tatizo hata hivyo Republican ndiyo wengi kwenye Congress na Senate na hawa ndiyo wapiga kura wa kumwondoa. Kwa sasa amewakamata sawasawa na hakuna anayefurukuta. Waliojitolea kumpinga waziwazi hawajagombea safari hii. Yaani ana cult personality na nguvu hatari sana kiasi kwamba ukijitokeza kumpinga tu basi hicho ni kifo chako kisiasa. Uchaguzi wa Novemba Democrats wakiwa majority pengine wataweza vinginevyo itabidi wasubiri mpaka uchaguzi ujaoKwa hiyo hakuna jinsi lazima amalize miaka minne kwa ofisi
Hiyo ilikuwa ishara kwamba mshahara wa dhambi ni mauti na mtoto huyo wa dhambini ilibidi afe.....[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kweli kibaya zaidi alishampa mimba mtoto alizaliwa akafa hila Daudi alijishusha alivaa magunia mpka mtoto alipozaliwa na kufa ndio akarudi ikulu hayo mambo ya misambwanda hatari sana
Hamjambo humu ndani
Ppa mzeeMkuu mambo vipi
sawa sawa..10. Oga jioni au kabla ya kulala
Utafiti uliofanyika umebaini kuwa, kuoga jioni au usiku kabla ya kulala, kutauweka mwili wako katika hali nzuri kiafya na kukufanya kulala vyema. Hivyo unaweza kuoga kabla ya kulala ua hata kusafisha miguu yako kwa maji kabla ya kulala ili kukuwezesha kupata usingizi mzuri.
hahahaaaa...