Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Ndiyo maana wanaendelea kumchimba. Pengine watamnasa kwenye haya mambo ya Russia. Au ikithibitika ana matatizo ya akili na hayuko stable kama wanavyodhani. Tatizo hata hivyo Republican ndiyo wengi kwenye Congress na Senate na hawa ndiyo wapiga kura wa kumwondoa. Kwa sasa amewakamata sawasawa na hakuna anayefurukuta. Waliojitolea kumpinga waziwazi hawajagombea safari hii. Yaani ana cult personality na nguvu hatari sana kiasi kwamba ukijitokeza kumpinga tu basi hicho ni kifo chako kisiasa. Uchaguzi wa Novemba Democrats wakiwa majority pengine wataweza vinginevyo itabidi wasubiri mpaka uchaguzi ujao
Siasa hatari sana
 
Back
Top Bottom