mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
Siasa hatari sanaNdiyo maana wanaendelea kumchimba. Pengine watamnasa kwenye haya mambo ya Russia. Au ikithibitika ana matatizo ya akili na hayuko stable kama wanavyodhani. Tatizo hata hivyo Republican ndiyo wengi kwenye Congress na Senate na hawa ndiyo wapiga kura wa kumwondoa. Kwa sasa amewakamata sawasawa na hakuna anayefurukuta. Waliojitolea kumpinga waziwazi hawajagombea safari hii. Yaani ana cult personality na nguvu hatari sana kiasi kwamba ukijitokeza kumpinga tu basi hicho ni kifo chako kisiasa. Uchaguzi wa Novemba Democrats wakiwa majority pengine wataweza vinginevyo itabidi wasubiri mpaka uchaguzi ujao
HakikaHiyo ilikuwa ishara kwamba mshahara wa dhambi ni mauti na mtoto huyo wa dhambini ilibidi afe.....
Mungu ni mwema sana na Anasamehe kila dhambi tukirudi kwake na kutubu kama alivyofanya mfalme Daudi...
Gr8 mkuu mambo vipiKiongozi, niaje
Na kwako mkuuasubuhi njema
AminaMungu atupe siku njema woote
HatujamboHamjambo
08:3606:18
NzuriHabari za asbh
Kabisajua linachomoza na matumaini mapya
Good morning my dear
salama kabisa sijui kwakoHamjambo
Miss u sana
asubuhi ya chai08:36
Mm ni fans wa Lakers lakini jamaa nilimkubali sana
Ya mchaichaiasubuhi ya chai
Safi kiongozi, habari ya siku nyingi?Mkuu mambo vipi
Weee mzee[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]View attachment 863260wapi mzee wa Tukuyu