Mbogo. Akikasirika huyu jamaa weka mbali na watoto
Alyekum salaam! Bukheri wa afya.Asalaam alyekum, hujambo rafiki
Huu ndiyo mlonge ama?
wapi hapo..
duh!!!!!!...........................
Huu sio mlonge, haya matunda ya mti huu hutumika kuongeza damu, na pia hayo matunda kimila kwa baadhi ya makabila yanatumika kwa watoto wa kiume ili wanapokua wakubwa wasiwe na vibamia. (Ndivyo inavyoaminika).Huu ndiyo mlonge ama?
Hiyo lazima itakuwa Balimi [emoji16][emoji16][emoji16]