Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Huu sio mlonge, haya matunda ya mti huu hutumika kuongeza damu, na pia hayo matunda kimila kwa baadhi ya makabila yanatumika kwa watoto wa kiume ili wanapokua wakubwa wasiwe na vibamia. (Ndivyo inavyoaminika).
Kwa Kisukuma nadhani unaitwa Ntinje. Matunda yake hayo yalikuwa yanasagwa na kukaushwa halafu tunakunywa. Hata sikumbuki yalikuwa yanatibu nini.
 
852925616_139831.jpg
 
Back
Top Bottom