Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nipo kamili na GIF kila kona ya sports
Maneno ya hakika sana na ndio maana wahenga wakasema mtumaini cha ndugu hufa masikini. Tuchape kaziWAKATI WW UNAWAZA BABA AKO ANGEKUA DANGOTE..BABA AKO NAE ANAWAZA KWA NINI WW HUKUA SAMATA...tupige kazi
Na huu ndio muda wa kugogwa na likekila jambo lina muda wake
kabisa mkuuManeno ya hakika sana na ndio maana wahenga wakasema mtumaini cha ndugu hufa masikini. Tuchape kazi
Sent from my TECNO CA6 using JamiiForums mobile app