Bila shaka itakua anatafuta nafasi ile ya vichaa vichaa kama wenzieHuyu ndo jongoo au😀
Inawezeka kwani aliekuambia si unamuamini?Nasikia huyo jamaa aliyovaa mask saiv ni Havana ni kwel ama!!
Nipo bro. Majukumu yamebana kidogo ila nipo. Wewe hujambo pamoja na wapendwa wako? Tumshukuru Mungu [emoji1545][emoji1545][emoji1545]SHIMBA YA BUYENZE
Shemeji wewe...Kwa kupotea tu hujambo. Natumaini kila kitu kiko sawa. Blessings [emoji1545][emoji1545][emoji1545]Hello wapendwa wa Mungu
Subiri Buzitata akija [emoji16][emoji16][emoji16]1.Aliwahi kuwa bingwa wa ndondi wa uzito wa juu nchini Uganda mwaka 1960-1961
2.alijichagua kuwa Raisi wa Uganda kwa mapinduzi ya kijeshi, na waganda wengi walimchukulia kuwa ni shujaa kwa kumuondoa raisi walieona “anasuasua” Milton Obote mwaka 1971.
3.Aliua watu zaidi ya laki tatu (300,000) kwa kipindi cha miaka 8 aliyokuwepo madarakani kabla ya Kung’olewa na Majeshi ya kitanzania mwaka 1979 baada ya kutaka kuteka sehemu ya Tanzania.
4.Aliwatimua raia wote wenye asili ya Kihindi nchini kwake na kutaifisha mali zao zote.
5.alijipa vyeo kibao na kujiita Field Marshall Al Hadj Doctor Idi Amin Dada!
6.Inasemekana alimtumia malkia wa uingereza Elizibeth II barua za kimapenzi akimuomba amuoe ili aweze kujiita mfalme kwani alikuwa ameshajipa vyeo vyote kasoro “King” Yaani mfalme.
7.Ana watoto zaidi ya 40 huku akiwa ameoa wake 6. Mmoja wa wake zake alikutwa ameuawa kinyama baada ya kupata ujauzito na mtu mwingine.
Safi bro nashukuru sikia hivyo pambana maisha ni mapambano stay blessedNipo bro. Majukumu yamebana kidogo ila nipo. Wewe hujambo pamoja na wapendwa wako? Tumshukuru Mungu [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
View attachment 866975
Kweli kabisa bro. Tena kama ni wimbo nadhani ndo umefika kwenye korasi sasa. Mungu ni mwema bro. Endelea kubarikiwa pia [emoji1545][emoji1545][emoji1545]Safi bro nashukuru sikia hivyo pambana maisha ni mapambano stay blessed