Bilionea Asigwa
JF-Expert Member
- Sep 21, 2011
- 16,589
- 28,759
Mshahara ukiniishia huwa ninakuwa na akili sana.
Nikipata tu mshahara akili zote zinahama.
Nikipata tu mshahara akili zote zinahama.
Mihogo ya mjini haigundishi zaidii ya jojoHe he he he he
Superglue siku hizi haina nguvu kama kunatisha kwa ugali wa muhogo
Jojo hizi hizi za shilingi mia mia??Mihogo ya mjini haigundishi zaidii ya jojo
Hakuna kulala weekend ndio imeanzaLikes za usiku zinaendelea
Miaka ya 2013 nilikuwa nashuka kupata lunch hapo...Kumbe na wewe huwa unahudhuria hapa!!!!....
Ni sehemu ya fujo kwa vijana wa kileo
kaunda suti wknd... wewe mkinga?Mimi nimevaa Kaunda suti ya kijivu...ngoja tuanze kukutafuta,umesema shati la draft?
hhahahaha bora useme weweUnazingua ww
Jamaa anazinguahhahahaha bora useme wewe
huenda mkinga!lolJamaa anazingua
Hizo hizo jojo obamaJojo hizi hizi za shilingi mia mia??
Member maarufu humu ni mayala na bahariaMimi naonaga members wa humu ni ghost.... sijawai ona hata mtu akichati jamii forum.... MTU mmoja ninayemfahamu ni Pasco Mayala....
Mtu wa NISSAN nyeupe huyokaunda suti wknd... wewe mkinga?
wakafie frontMtu wa NISSAN nyeupe huyo
Ni kweli kabisa[emoji2] View attachment 868278