Bilionea Asigwa
JF-Expert Member
- Sep 21, 2011
- 16,589
- 28,759
NimeipataKula like kama zote
Nimeipata
NimeipataKula like kama zote
Mwenzio akinyolewa wewe tia majiHaya twende sawa hapa.
Andika sentesi kwa kuanza na neno la mwisho la alichoandika mwenzio
Utamu wa hiyo kitu achana nayo kabsa unaweza jikuta UNATOA namba za siri za ATM cardHe he he he
Nyembu tena?
He eh ehe heKumbe hunitakii mema jirani yangu, giza lote hili nitakwendaje kupiga mbizi, mawe tu yananitisha.
he he he heUtamu wa hiyo kitu achana nayo kabsa unaweza jikuta UNATOA namba za siri za ATM card
Punguza munkari mkuu.Unaulizia mavi chooni
Munkari ndio nini mkuu??Punguza munkari mkuu.
SawaPunguza munkari mkuu.
Anapenda kusugua kakisigino kake huyoMwache aoge akitoka kuoga nampaka mafuta ya like tu
[emoji23][emoji23][emoji23], mie sina magaga mpaka kuogea dodoki..Povu tu lanitosha.He eh ehe he
Badogo unaogaga pale Kirumba mwaloni na dodoki lako la wavu wa dagaa??
He he he he he[emoji23][emoji23][emoji23], mie sina magaga mpaka kuogea dodoki..Povu tu lanitosha.
He he he heAkikujibu Unitag 😀😀