MALCOM LUMUMBA
JF-Expert Member
- Jul 26, 2012
- 21,775
- 71,893
Hahahaha, acha tu!Jamaa anakutengenezea mazingira uonekane mnoko
Hahahaha, acha tu!Jamaa anakutengenezea mazingira uonekane mnoko
Kula likeUsiku wa kupeana raha
Pia walitudanya et jongoo aliowa miguu na nyoka😀Wahenga walidanganya kuwa jogoo wa shamba hawiki mjini
Ukikitafuta utakipata tuUnachokitafuta!
Mkuu hata mmoja hujawahi onana naye?Mimi naonaga members wa humu ni ghost.... sijawai ona hata mtu akichati jamii forum.... MTU mmoja ninayemfahamu ni Pasco Mayala....
He he he hePia walitudanya et jongoo aliowa miguu na nyoka😀
KAMA ccmAcha Uzi huu uendelee mbele
Lakin hauzid utamu wa nyembura nyembu!!Utamu wa Likes ni mtamu
Naomba like yako mkuuLikes
Hata mmoja sijawai onana nae....ni Pasco Mayala ndio...nampata...Mkuu hata mmoja hujawahi onana naye?
Pyaar unatafutwa huko juuHahahahaha!! No comment
He he he heHahahahaha!! No comment
Kula likeNaona saiz watu wamekuwa wavivu wa kutoa likes kama azimio la uzi unavyotaka.
He he he heLakin hauzid utamu wa nyembura nyembu!!