St Lunatics
JF-Expert Member
- Aug 29, 2015
- 6,641
- 11,201
Nipo DIDDY'S Masaki huku kuna visichana havitaki tozi wanataka vizee tu dadeki bora nitimkie huko ulipo madafanta.
Ndukiiiii is 🏃♂️🏃♂️🏃♂️
Ndukiiiii is 🏃♂️🏃♂️🏃♂️
Mimi nimeishiwa hadi mbolea ya miwa yangu...Hii bakora ya huyu mzee sio ya mchezo mchezo aisee, yani nina miezi 5 hata soda mtihani mkuu
Leo Pana Bendi hapo,najua Ijumaa na Jumamosi Huwa pananoga,Calabash hapachujiWazeeyaaaa... Tuonane tugonge glass mbili tatu
Mkuu Calabash ya Mwenge haijafa na haijachujaDuh!
Calabash bado ipo?
Ijumaa na Jumamosi ndo Huwa patamu Bendi Huwa inakwepoAisee bado kuna live band hapo??
KakuuzaNmescan hakuna mtu mwenye kaunda hapa
Kwa wenye magari ukitoka pale Calabash kama unaingia Sam Nujoma Road inabidi muwe makini maana usiku madereva Sam Nujoma Road mwendo wao wanaujua wenyewe,Road About ya Mlimani viajali vimekuwa vikitokea mara Kwa maraHahahaha,
Chimbo nalipenda sanaaa hilo.
We mwenyewe ghostMimi naonaga members wa humu ni ghost.... sijawai ona hata mtu akichati jamii forum.... MTU mmoja ninayemfahamu ni Pasco Mayala....
Calabash siku za Jumapili Bendi yao sidhani kama Huwa inabambaAisee band imeshaanza kupiga!??
Nipo sinza hapa nataka kuja
Hahahaha, daaah.Kwa wenye magari ukitoka pale Calabash kama unaingia Sam Nujoma Road inabidi muwe makini maana usiku madereva Sam Nujoma Road mwendo wao wanaujua wenyewe,Road About ya Mlimani viajali vimekuwa vikitokea mara Kwa mara
Ilitokea ajali moja ya Subaru na Rav4 Jumamosi moja saa Saba usiku dah,ni shida,wanywaji mnaotokea Calabash muwe makini,we Love youHahahaha, daaah.
Usiku ni muda wa malena na walevi mzee!
Tena wikendi ndiyo vijana wakiwa vyombo inakuwa balaa!
MatundaMuda wa kula
20:4020:34