Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Ijumaa nimeenda Calabash kuna Mzee mmoja kakaa na binti mmoja wameenjoy wamecheza muziki vizuri mida kama Saa sita kasoro hivi,demu kapigia simu rafiki yake,rafiki yake alivyofika Yule Mzee akawa yupo happy kamchangamkia,wakaanza kucheza muziki wote,Mzee kamiliki mademu wawili.Hajakaa sawa Yule demu mgeni kapigia maswahiba zake walikuja vijana wa kiume kama wanne hivi wote wanamtegemea Mzee.Nilikuta Mzee kabadirika Rangi ghafla.Furaha yake iliisha ghafla.
 
Back
Top Bottom