Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
[emoji736][emoji736][emoji736][emoji736][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Kiuhalisia nchi za Kiafrika hazija wahi kujitawala tangu madaraka yanyang'anywe na Wazungu kwa machifu. Labda Libya, ilianza vizuri lakini Wazungu wakaichukua tena.Waafrika bwana. Ndiyo maana mamikataba mabovu haya tunamwaga saini tu. Hatuko siriazi. Imagine hapo iwe usiku wa manane halafu nje ya nchi kama ile mikataba ya akina Ngeleja, Karamagi na Yona....Hata kusoma fine prints hakuna...View attachment 870273
Nisafishe mtaro mmWeseeee [emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 870279
Kuendeleza urafiki na maex ni sawa na kuendelea kushikilia muwa uliomenywa mkononi. Mwishowe utaishia kuula tu [emoji16][emoji16][emoji16]I don’t think it’s necessary to force a friendship after a relationship. I am not and will never be friends with my exes
Gadafi. Alikuwa anataka Afrika iungane. Tena ianze kutumia dhahabu kama pesa yake ya pamoja. Mawazo hatari sana haya kwa sababu bila kunyonya raslimali za Afrika wazungu hawana kitu. He had to die kwa kisingizio cha Demokrasia na ugaidi.Kiuhalisia nchi za Kiafrika hazija wahi kujitawala tangu madaraka yanyang'anywe na Wazungu kwa machifu. Labda Libya, ilianza vizuri lakini Wazungu wakaichukua tena.
Dar kwema mkuu? Huku mikoani ukija na hizi "Woyoooooo" zako tunakupopoa mawe [emoji23][emoji23][emoji23]Woyoooooo
I don't care about retirement benefitsKuendeleza urafiki na maex ni sawa na kuendelea kushikilia muwa uliomenywa mkononi. Mwishowe utaishia kuula tu [emoji16][emoji16][emoji16]
Duh !!!I don't care about retirement benefits
😀😀Dar kwema mkuu? Huku mikoani ukija na hizi "Woyoooooo" zako tunakupopoa mawe [emoji23][emoji23][emoji23]