Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Freckles
Ndio koromije mashulen pote vinaitwa vibaragara,Ndivyo vinaitwa hivyo huko home? Vibaragara?
Wakovaa dela shepu haitaonekanaHaya magauni ya kubana haya. Lengo lake hasa ni nini? Wanaume ni shida tupu!!!View attachment 870231
Wewe na nani?Tusiringishiane wote wanaume wa darView attachment 870186
Sheria ya uhifadhi wa hii kitu ni ngumu sana. Asiye nayo anaishi kwa amani zaidi kuliko aliye nayo.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]haileweshi bana hio ni kama soda tuUkisha lewa una pillow la kuegeshea kichwa? View attachment 870185
[emoji124] [emoji124] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Wewe na nani?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji124] [emoji124] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Niliwahi kukuona sehemu na bilauli umejaza mvinyo mwekundu pomoni... Nakijisemea tu "anko endelea kuinjoika, ila kitakacho fuata utakuwa umekitaka mwenyewe". Kwa kweli sikukuonea huruma hata kidogo...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]haileweshi bana hio ni kama soda tu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wewe na nani?
Poa MoudgulfWakuu niaje
Akili za pombe banaView attachment 870078
Ditopile kilimtia matatani. Huyu nadhani ni mtu wa usalama hivyo amefundwa vyema..Aden Rage naye alikiachia laivu tena kwenye mkutano wa hadhara.Sheria ya uhifadhi wa hii kitu ni ngumu sana. Asiye nayo anaishi kwa amani zaidi kuliko aliye nayo.
"Ni rahisi zaidi kum-handle mke malaya na kuishi nae kwa miaka 50 pasipo madhara kuliko kukitunza hicho kidubwasha kwa miaka 10 bila kukutia matatani"
Rip Ditopile[emoji120] [emoji120]
Tunakopelekwa sikoKazi ipooo tena kubwa tu [emoji1786][emoji1786][emoji15][emoji15]View attachment 870080