Aprili 16, 2016 Rais Magufuli aliweka jiwe la msingi la ujenzi wa barabara hiyo, ambapo Agosti 29 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa alitembelea kukagua ujenzi huo na kueleza ume kwa asilimia 98 na kwamba ufunguzi utafanyika mwezi ujao.
“Nimeshuhudia jana (juzi) na leo (jana), yaani ili upate kwa haraka daladala ya kwenda Mnazi Mmoja inakubidi kusubiri kituo cha mbele kiitwacho Mtava badala ya kituo cha Tazara kwa sababu (Tazara) kipo chini ya flyover.”