Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Masters wa passes
Screenshot_20180917-194705.jpg
 
Hii picha inasimulia tukio alilolifanya samsoni ambalo liliuwa watu wengi pamoja na yeye kufia humoView attachment 869844
Waamuzi 16

27 Basi nyumba ile ilikuwa imejaa watu waume kwa wake; na wakuu wote wa Wafilisti walikuwamo humo, na juu ya dari palikuwa na watu elfu tatu waume kwa wake waliokuwa wakitazama, wakati Samsoni alipocheza.
28 Samsoni akamwita BWANA, akasema, Ee Bwana MUNGU, unikumbuke, nakuomba, ukanitie nguvu, nakuomba, mara hii tu, Ee Mungu, ili nipate kujilipiza kisasi juu ya Wafilisti kwa ajili ya macho yangu mawili.
29 Kisha Samsoni akazishika nguzo mbili za katikati ambazo nyumba ile ilikaa juu yake, akazitegemea, moja kwa mkono wake wa kuume na moja kwa mkono wake wa kushoto.
30 Samsoni akasema; Na nife pamoja na hawa Wafilisti. Akainama kwa nguvu zake zote; ile nyumba ikawaangukia hao wakuu, na watu wote waliokuwa ndani yake. Basi wale watu aliowaua wakati wa kufa kwake walikuwa wengi kuliko wale aliowaua wakati wa uhai wake.
 
Screenshot_20180918-090046~2.jpeg
 
Hii picha inasimulia tukio alilolifanya samsoni ambalo liliuwa watu wengi pamoja na yeye kufia humoView attachment 869844
Maswali ya kizushi kutokana na mkasa huu wa kusikitisha: Samsoni alipata faida gani kwa kuua watu wengi vile? Ilimsaidia cho chote kwa namna yo yote ile? Tunafaidika kwa namna yo yote ile tunapolipiza visasi kwa watu waliotukosea?
 
Back
Top Bottom