Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Baada ya hapo kuna malipo [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Baada ya hapo kuna malipo [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Imani!"Baba Mtakatifu" Nini hiyo unabusu?
Wapinzani wana shida zao nyingi sana walahiKiwete? Mkuu, ni typo au makusudi? Mr. Dhaifu huyu sasa hivi analiliwa na wapinzani. Maisha mzunguko ati !!!
Kikwete was a gentleman. Aliwaita mpaka ikulu wakaenda kufakamia chai na bado wakamwita dhaifu. Politicians [emoji16][emoji16][emoji16]Freeman na kiweteView attachment 869823
Hawajui walitakalo. Huku wako na huku wako. Nilipoteza matumaini sana walipomkaribisha Edo. That was a betrayal for me [emoji2221][emoji2221][emoji2221][emoji2221]Wapinzani wana shida zao nyingi sana walahi
[emoji16][emoji16][emoji16]. Jogging ni kisingizio tu. Ukiviona hivyo basi jua kuwa vinahaha kutafuta ubuyu huko mabarabarani.Slim Girls who go for jogging at dawn. Sister, What do you want to lose again? Your life?
The mother of fertility. The best wife
Kwenye mwili wa mwanamke ama? Whati a yu askingi? Jizazi [emoji2099][emoji2099][emoji2099]Iko wapi hii?
Dah! Kazi ipo haki ya nani.
Furaha yako inatokana na nini? Tuanzie hapo kwanza. Pole !!!Aah maisha haya jamani....mawazo...upweke...wengi vinatumaliza....utakuwa na vingi lakini furaha hamna!
Ila tupo tunaishi....na sisi...
Ni kweli. You can't swim in the same river twice.Wanasema tarehe kama ya leo haiwezi kujirudia tena
Hiyo feature iko wapi?? Hahahahaha!Kwa nini hujauliza kiko wapi ama liko wapi hili?
Umewahi kuuliza iko wapi hii nini nini?
Kwenye mwili wa mwanamke tena?? Mie nimeshindwa hata kuelewa ni nini hicho.Kwenye mwili wa mwanamke ama? Whati a yu askingi? Jizazi [emoji2099][emoji2099][emoji2099]
Kwenye mwili wa mwanamke ama?Hiyo feature iko wapi?? Hahahahaha!
Sijaelewa hata ni kitu gani hicho.Kwenye mwili wa mwanamke ama?