Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

6.Ni sawa kama utaondoka katika mazingira ya usalama na kuanza upya. mazingira mazuri yanakudhoofisha.

7.Ni vizuri kujiendeleza na Elimu zaidi. Kwa kuwa utapata maarifa na ufahamu. Nani ataweza kukusaidia kama hutawekeza kwa ajili yako?
 
8.Ni sawa kama utahitaji msaada . kama urahisi unavyoonekana , Hiki ni kitu kigumu kufanya, lakini bado utaweza kupata matokeo mazuri.

9.Ni sawa kukosea. Hasa unapokubali kuwa hujui kila kitu,Inaruhusu akili yako kufunguka.Maisha yako yatabadilika.

10.Ni sawa kukubali uwazi na kukosa usalama wakati wa mabadiliko . Ni kitu kinachoogopesha.
 
Furaha yako inatokana na nini? Tuanzie hapo kwanza. Pole !!!
Kwa sasa niwe mkweli siwezi jua inatokana na nini! .... nilishaipoteza..namna ya kuirejesha sasa..imenigharimu sana sana lakini hamna liwalo.... hayasimuliki ....
Tunaishi ni vile tu mda wa kuondoka hapa duniani ni bado ....
Rafiki na mtu pekee ninayekuwa naye karibu mda mwingi ni nyinyi hata kama hatujuani lakini naongea nanyi kwa kusoma..kujibu na kuchangia mada!
Nilipotezwa... mpaka kufika tena hapa nilipo .... ilikuwa kazi pevu ya karne!
Nashukuru kwa kuniuliza hili swali labda limesaidia kujipa moyo...ķuwa mpo rafiki zangu wazuri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…