Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kwa hiyo hapo utashindwa uchague yupi na uache yupi. Na multiple choice unaweza kufumba macho tu au kujitengenezea pattern yako mwenyewe na ukatoboa [emoji16][emoji16][emoji16]
Ha haha
Tatzo kila element ina factor zake muhimu, talking abt Eyes, lips, hair styl, smile, rangi ya ngozi, teeth arrangement, the jaw's color, kucha n.k

Dah labda iwe assignment, hili swali ukifumba macho utajuta nakwambia.
 
Mi naamini kama siasa ya upinzani isingepigwa marufuku kote nchini
Bado ccm na hali hii ngumu kwa wananchi kiuchumi wangechukiwa sana
Tukubali tukatae kupiga marufuku siasa za upinzani majukwaani ilikuwa ni mbinu ya ccm kurudisha imani iliyokuwa inapotea
Ni kweli mkuu. Nadhani hilo liko wazi...Mbinu za kisiasa. Swali sasa ni hili: wapinzani wafanye nini? Wakae tu na kulalamika kama wanavyofanya? Hapa ndipo akili kubwa inabidi zitumike ili kuja na mbinu mpya. Hakukosea aliyesema siasa mchezo mchafu !!!
 
Ha haha
Tatzo kila element ina factor zake muhimu, talking abt Eyes, lips, hair styl, smile, rangi ya ngozi, teeth arrangement, the jaw's color, kucha n.k

Dah labda iwe assignment, hili swali ukifumba macho utajuta nakwambia.
Kwa factors zote hizi ni kweli mkuu. Matipo choice huziwezi. Utaishia kujichanganya tu [emoji16][emoji16][emoji16]
 
Back
Top Bottom