Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kikwete was a gentleman. Aliwaita mpaka ikulu wakaenda kufakamia chai na bado wakamwita dhaifu. Politicians [emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 870027
Lakini nimejifunza kwamba hii ilimfanya jpm kupiga marufuku siasa za majukwaani kwa sababu hapa ccm ilikuwa inaelekea kufa maana upinzani hasa chadema walipiga oparetion nyingi sana za siasa zilizofanya wananchi kukipenda
Jiwe na ccm wenzake wakaona wapige stop siasa za majukwaani mpaka uchaguzi mwingine
 
Uchumi wako una masaa mangapi? Wewe ni mtu unayeandika kitu unapofundishwa? unasoma vitabu ? Unafikiri kwa muda gani? Unatafuta taarifa za kutosha? Unatafuta wazo ndani yako?

Kitu gani unaweza kuonyesha ambacho tayari umekifanya kipindi chote cha maisha yako mpaka hapo ulipo sasa hivi? Mungu huwa hampi mtu yeyote ambaye ni mjinga miujiza mikubwa zaidi ya uponyaji mdogo.

Muda ukitumika vibaya lazima utakuwa mtu wa madeni mengi, utakopa sana. Anza sasa kujiuliza tangu mwaka ulipoanza ni kitu gani umekifanya cha Mungu.
 
Uchumi wa Mungu ni masaa 24. Huenda kuna mtu amebeba majibu ya maisha yako, anza kuuliza maswali. Kama ukichezea muda wako ni ngumu sana kufanikiwa.

Kazi ya Muda.

1.Kufikiri. jiulize umewahi kupata nafasi ya kukaa mahali na kufikiri kwa dakika kadhaa? kama hujawahi wewe hujaanza kuishi bado.

2.Wazo. Mawazo yako unayopata , unayaandika au kuchora mahali ili Mungu aone nia yako akusaidie kuvuka mahali ulipo?

3.Kutafuta Taarifa sahihi. Unatafuta semina mbalimbali ili kujifunza, unasoma vitabu gani ambavyo vinaweza kukupatia ufahamu wa kutosha, Unasisikiliza kitu gani ili ujifunze , unatazama nini, kitu gani unakipenda na nini hukipendi.
 
Unataka kuwa na kampuni kubwa anza kutengeneza maneno kwanza. hakuna kitu kinachotokea kabla ya Neno. Simu inatengenezwa kwa kutumia kitabu chake. Mungu aliumba Ulimwengu kwa neno. Gari inatengenezwa kwa kuanza na maneno ya kwenye karatasi kwanza. Mwanadamu ni kitabu chake cha imani.

Kama muda wako umejaa masaa 24, tazama huo muda unaufanyia nini? Muda una nguvu, Heshimu muda. Mtu anayeheshimu muda huheshimika, huonekana kuwa ni wa thamani . Ukitumia muda vizuri utakubalika na Mungu pamoja na wanadamu.

Unachotakiwa kufanya leo ni kuandaa list yako ya 2018. Nimetamani nikusaidie kitu gani cha kuanza kwanza.

Kabla hujaandika mambo yako yote, Anza kuandika mambo ya Mungu. Andika vitu ambavyo utamfanyia Mungu , Kazi ya Mungu mwaka 2018. Ukimaliza hayo, Anza kuorodhesha ya kwako.
 
Do not try this
person-couple-love-romantic.jpg
 
Back
Top Bottom